Duration 10:37

Rais Magufuli ahoji jambazi kufanya ujambazi bila kupokonywa bunduki

664 235 watched
0
1.6 K
Published 25 Jun 2016

Rais Magufuli amehoji kwanini jambazi aende kufanya ujambazi bila kupokonywa bunduki yake haraka wakati wao pia wana bunduki. Ametoa wito kwa polisi wote nchini, jambazi akienda sehemu na bunduki kufanya uhalifu, apokonywe bunduki yake haraka na polisi wanaowapokonya majambazi bunduki haraka wasipelekwe mahakamani, wapandishwe cheo kwani wananchi wamechoka. Amesema jeshi la polisi wakiamua Tanzania kuwe na amani, kutakua na amani. Amesema vijana wanaweza kuwa na hamu ya kufanya kazi lakini maofisa wa polisi wanawabana bana. Rais amezungumzia mchezo wa kuvujisha taarifa za wanaotoa taarifa za uhalifu na kukemea.

Category

Show more

Comments - 176