Duration 5:5

HIVI NDIVYO PEDI ZA KUFUA ZINAVYOTENGENEZWA

5 467 watched
0
38
Published 15 Oct 2019

Leo nimekuletea huu mchongo wa kutengeneza pedi za kufua kwa kutumia vitaulo na matirio mengine. Huu mchongo nimeuchukua kutoka kwa kituo cha kulelea watoto yatima kinachoitwa Kisarawe Orphanage. Unaweza kununua kwa ajili ya kuwapa sapoti watoto hawa, fanya kupiga 0714208066 au 0754868297 ili uweze kununua kwa jumla au reja reja kwa ajili ya mtumizi ya kawaida na kuuza na kutengeneza kipato.

Category

Show more

Comments - 8