Duration 11:56

LIVE: SOKO LA KARIAKOO LINAWAKA MOTO

344 watched
0
0
Published 11 Jul 2021

Kutoka hapa #Kariakoo, Dar es salaam muda huu, Soko Kuu la Kariakoo linateketea kwa moto, bado chanzo hakijajulikana na tayari Vikosi vya Zimamaoto na Uokoaji pamoja na Vyombo vingine vya usalama vinaendelea na shughuli za kuzima moto huu. #SokoLaKariakoo #Moto

Category

Show more

Comments - 0