Duration 9:56

Kipa Yanga Apigana Uwanjani, MATUKIO 8 Ya Ajabu Mechi YANGA K, Kadi Nyekundu 3, NGASA

159 709 watched
0
387
Published 16 Dec 2019

Kipa Yanga Apigana Uwanjani, MATUKIO 8 Ya Ajabu Mechi YANGA K, Kadi Nyekundu 3, NGASA Vituko vya Wachezaji wa Yanga, MOLINGA na NGASA, Washinda 3 - 0 KIGOMA YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?li

Category

Show more

Comments - 106
  • @
    @paullwangili22355 years ago Wanashindania kombe gani hawa, hadi wanarusha ngumi. 4
  • @
    @jacobmollel40935 years ago Masikini yanga siku hizi wanacheza ndondo cap au ligi ya kuku hii. 1
  • @
    @phestotulusi95995 years ago Duh. Hdi mechi ya kirafiki mnaitolea macho timu yenyewe daraja la kwanza yanga mbona mnatia aibu. 2
  • @
    @vedastusfaustine77915 years ago Du mwalim anampiga mwanafunz ngumi kweli? 4
  • @
    @pitarmudi56105 years ago Aibu kubws sana yanga nitimu kiongozi kwa mnanila lakini kwa hivyo vitendo kama kupigana unawafundisha nini timu kama mnanila au kulikuwepo na kombe au . ...Expand 2
  • @
    @siwonikengodya21495 years ago Kweli vyura mmekwisha mimi naona hiyo tarehe mumkodi mwakinyo.
  • @
    @chibothedon5675 years ago Unatangaza mpira wakati wachezaji uwajui.
  • @
    @rashidrehan73385 years ago Kwali yanga yakimataifa mambo yake ya ulayaulaya.
  • @
    @mohammediallykaboza58625 years ago Ivi nyie yanga mmetoka dar kwenda kuomba mechi za kilafiki au mapambano? Aibu hii hata mashabiki wenu unawavunja nguvu huu ushenziii. 1
  • @
    @abdulkareemseif6675 years ago Jamani tz hakuna amani kweli? Naona kila mda mibunduki tu.
  • @
    @shidanyondo77005 years ago Kabwiri ngumi zenyewe kurusha hujuwi iniaibu ndondokapu ee! B. 4
  • @
    @humayduwe17625 years ago Yanga kweli wa mchangani yaani game kama hii yakupigana. 4
  • @
    @kivungemmbuji23115 years ago Mnanira fc ipo daraja la ngapi? Gongo wazi mnasikitisha sana. Boniface timu ya mnanila fc ndiyo inayowaandaa kukutana na mnyama? 3
  • @
    @simontamba12855 years ago Yanga mliiona simba walivojaza watu hapo kigoma ndo najua kuwa simba ndio timu yenye nchi.
  • @
    @ernestkashunja15145 years ago Kama timu ndogo kama hii mnapiga ngumi, je mkicheza na simba itakuaje. 3
  • @
    @rashidrehan73385 years ago Wesenge wakubwa wote simba alikuja shuhuli alioifanya hapo kwanza uwanja ulitapika halafu hawakucheza bonanza ilichezwa mechi mtasubiri sana natimu yanu ya kisiasa.
  • @
    @thebutejuma81945 years ago Katimu kadogo tena mmeshakafunga halafu mnapigana wkt refa kashatoa kadi kweli tim ya yanga limebakia jina 2 hakuna kitu.
  • @
    @husseinkonz51925 years ago Mkisikia vilaza ujue vilaza kweli sasa siku ya mnyama simtakuja na bunduki kabisa hapo hamugombei hata kombe mnaanza utovu wa nidham. 1
  • @
    @azizacleny86775 years ago Hyo kadi mchezo wa kitoto trh 4 tutawauwa dadeq zenu. 1
  • @
    @muyenjwamisana9565 years ago Acheni usengi kwani kupigana uwanjani haijawai kutokea washamba nyinyi tena mkome.
  • @
    @shebydementase93325 years ago Kama umeona mchezaj wa mnanila anajez tofauti na wenzia gonga like. Baada ya goli la molinga.
  • @
    @figomata28065 years ago Mtu kapewa kadi nyekundu lakini jezi yake bado ipo uwanjani aibu hii bongo mpira bado xanaaa.
  • @
    @bernardchibwana94115 years ago Yani nyie yanga mnatia aibu, mnatoka dar kwenda kigoma kwenda kupigana, team kubwa mnafanya mambo yakipumbavu hvyo? Badilikeni. 1
  • @
    @habibasharifubatashi69185 years ago Hivi hawa wajinga ndio mnawapa bendera waiwakilishe nchi?
    eleweni malinzi hayupo hivyo ule ujinga wenu muuache, au badilisheni mpigane muache mpira ili tumtume kocha wa mabondia aje huko kusimamia ngumi.
  • @
    @wilsonkimaro63755 years ago Yanga hiyo ndo saizi yao huku ligi kuu wako kimakosa tuu hawana jipya wa lolote. 4
  • @
    @halfahalfa97285 years ago Sasa ngumi ipo wapi aliyorusha kabwili?
    wakati kamsukuma tu kisha akaja kukabwa yeye
    mtangazaji unawekwa kweli wewe .
  • @
    @petermnotta7895 years ago Munanila nikijiji ambacho kipo wilayani buhigwe.
  • @
    @hassankombo83735 years ago Ppumbavu nyie hamuna akili subirini t 4 mutapigana uzuri maana tano 5 zina wahusu pumbavuuu. 3
  • @
    @wilsonkimaro63755 years ago Yaani mnashangilia kabisa, mh yanga aibu yenu hata nyie hako kamnanila kakigoma nako mnashangilia nisawa nababa mwenye miaka arobaini anacheza namtotowake wa miaka miwili.
  • @
    @lizzyshoo80845 years ago Mko mbele kwa mabao alafu mnaanzisha ugomvi alafu ni timu kubwa bingwa? Shame on you. 3
  • @
    @lwagamwakalinga52765 years ago Kwa kweli mimi shabiki wa yanga sana na jana nilikuwepo uwanjani vizuri, kwanza tumeibiwa kwa kutangaziwa mbao wangecheza na yanga lakini pia golikipa kabwili . ...Expand 2
  • @
    @rajabuseleman84435 years ago Mbona mikia mnaropoka sana timu sio yenu nyie saizi yenu mashujaa na mwadui. 1
  • @
    @venanceseni19585 years ago Yanga bhna mnanira yenywe hata jezi hawajavaa za kufanana team nzima.
  • @
    @shawwalibrahim20035 years ago Maskin yanga hadi wanatia huruma. Munanila wazee wa kibande, mkigo, kalinzi, kilemba, mawasiliano, karo, kitambuka, bakanja, mugina, makamba, nyanzalaki nk mko vzr hao yanga ni stahiki yenu.
  • @
    @hwimufumbu67775 years ago Jezi kuvuliana hiyo nayo mpya timu imekwisha hyo jaman churaa aibu. 1