Duration 16:38

WOMAN EPISODE 1

20 243 watched
0
372
Published 29 Jan 2021

#WOMAN_SERIES KUPENDANA pekee hakufanyi watu wadumu katika ndoa, wapo wengi waliopendana ila safari yao ya mapenzi iliishia njiani. Ili uweze kudumu katika ndoa yako, inabidi umjue mwenzako kiuhakika, ujue namna ya kumfanya afurahi na kukuona mpya kila Siku Mwenza wako anaweza kukupenda sana ila kama huwezi kucheza na akili yake kwa namna ya kumfanya azidi kukuona bora na wa thamani, tambua mwingine anaweza kufanya hivyo na kumuondoa kwako. Mfanye mwenza wako awe Rafiki yako wa karibu. Akiwa rafiki utakuwa huru/wazi sana kwake nae atakuwa huru/wazi sana kwako.

Category

Show more

Comments - 46