Duration 3:22:29

ASKOFU GWAJIMA AONGOZA TAIFA KUMUOMBA MUNGU: DAY TWO:14.4.2020

12 634 watched
0
184
Published 14 Apr 2020

Leo tunaombea 1. Bunge na 2. Mahakama 3. Bara la Africa Hesabu 6:46 -50 Tauni iliyoandikwa kwenye biblia ndo Corona Virus ya leo . Tauni ya wakati wa Musa walikufa watu 14,700. Wakati wa Musa Tauni ilizuiliwa na leo tunatumia namna ya kimwili na namna ya kimungu kutaifanyia kazi kwa nguvu zaidi. Nguvu hii ya kimungu ilifanya kazi miaka malefu iliyopita na leo Mungu wetu ni yeye yule jana leo na milele. Tauni itazuiwa kwa mkono wa Mungu kupitia binadamu , tauni itazuliwa kwa mdomo wa Mungu kwa Surabaya binadamu. Naona Tanzania yenye wanaume na wanawake wenye uwezo kusimamisha tauni. Mabaya hayata kupata wewe wala Tanuni hatakaribia hemani mwako Tusimame juu ya mwamba- Yesu ni ndio mwamba imara

Category

Show more

Comments - 28