Duration 3:32

Shambulio la 9/11: Dakika 102 zilizobadilisha Marekani na ulimwengu

4 162 watched
0
38
Published 12 Sep 2021

Mnamo Septemba 11 mwaka 2001 Marekani ilishambuliwa. Mtandao wenye msimamo mkali wa Kiislamu, al-Qaeda, uliteka nyara ndege nne na kuzitumia kama makombora dhidi ya maeneo maalumu ya Marekani. Karibu watu 3,000 waliuawa. Marekani ilijibu janga hilo kupitia oparesheni iliyoitwa ‘vita dhidi ya ugaidi’ – iliyojumuisha uvamizi wa nchi mbili na kusabisha vifo zaidi. Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa asubuhi hiyo iliyobadilisha Marekani na ulimwengu. #bbcswahili #marekani #ugaidi

Category

Show more

Comments - 4