Rapper Chemical ambaye jina lake halisi ni Claudia Lubao, amehitimu shahada ya uzamili katika chuo kikuu cha Dar es Salaam na kuwa mwanafunzi mwenye tafiti bora (first winner) kwa chuo kizima kwa mwaka 2021/22.
Kwa upande mwingine, ameachia EP yake iitwayo Chemi Light unayoweza kuisikiliza kwa kufuata link hiyo chini
https://www.boomplay.com/share/album/26136405