Duration 23:4

AFRIKA YA MAGUFULI NI MFANO WA KUIGWA/WAZUNGU WAKAE KIMYA USHETANI WAO HATUUTAKI

5 923 watched
0
133
Published 14 Jan 2021

SUPPORT US THROUGH AIRTEL MONEY +255 787 694 242 Thank you. Matatizo ya Afrika yataamriwa na waafrika wenyewe maana wazungu wanawanyooshea vidole viongozi wetu kwamba ni wala rushwa wakati wao wazungu ni wauaji wakubwa na mikono yao imemwaga damu nyingi zisizokuwa na hatia hata kidogo. hata siku moja Umoja wa afrika haujawahi kupanga kwenda kuvamia nchi zingine na kuwaua lakini wazungu wa ulaya na marekani wamekuwa wakifanya hivyo na hao ndiyo wanaokosoa serikali zetu za Afrika watuachie wenyewe tunajua namna ya kutatua matatizo yetu wenyewe historia ya mtu mweysu itaandikwa na mtu mweusi sio mzungu.

Category

Show more

Comments - 66