Duration 2:30

Shule Yateketea Kwa Moto

787 watched
0
12
Published 18 Sep 2019

MOTO MKALI UMEWAKA NA KUTEKETEZA HOLLY LA SHULE YA SEKONDARI YA OLD TANGA ILIYOPO ENEO LA MKWAKWANI KATIKA MKOA WA TANGA. AJALI HIYO YA MOTO ILIYOTOKEA MAJIRA YA SAA SITA NA NUSUSU LEO HII KATIKA SHULE HIYO YA OLD TANGA INASADIKIKA KUWA INAWEZA KUWA ILISABABISHWA NA SHOTI YA UMEME JAPO BADO UCHUNGUZI WAKUTOSHA KUTHIBITISHA HILO. KATIKA AJALI HIYO HAKUNA TAARIFA YA MWANAFUNZI AMA MFANYA KAZI YOYOTE WA SHULE KUJERUHIWA AMA KUPOTEZA MAISHA YAKE, HUKU JESHI LA ZIMA MOTO LILILO KARIBU KABISA NA SHULE HIYO, LILIWEZA KUWAHI NAKUUZIMA MOTO HUO AMBAO LICHA YA KUZIMWA LAKINI ULITEKETEZA VILIVYO HOLLY LA SHULE HIYO.

Category

Show more

Comments - 0