Duration 7:31

HECHE BUNGENI: Waziri Huoni Aibu, Unafki Tu, Mungu Anajua

78 315 watched
0
288
Published 5 Sep 2018

HECHE BUNGENI: "Waziri Huoni Aibu, Unafki Tu, Mungu Anajua" Mbunge wa Tarime vijijini, John Heche, amehoji Bungeni sababu ya Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli kuharakisha mchakato wa kuwahamishia watumishi wa umma Dodoma bila kuwapatia stahiki zao huku ikijua inafanya makosa. Heche amesema hayo wakati akichangia mapendekezo yake katika muswada wa sheria ya kulifanya jiji la Dodoma kuwa makao makuu. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ...

Category

Show more

Comments - 69