Duration 8:27

Mbunge apendekeza wanaume wabakaji na walawiti 'Wahasiwe'

45 watched
0
2
Published 23 Jun 2023

#ijuesheria #bungeni Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Arumeru Magharibi Dkt. Thea Ntara amependekeza wanaume wanaopatikana na hatia ya ubakaji ama ulawiti kwa watoto ahasiwe. Ameyasema hayo wakati wa kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni jana.

Category

Show more

Comments - 0