Ikiwa Leo ni Siku ya Mwisho ya Kujiandikisha Katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, @kitengemaulid Ameamua Kuwazuia Wafanyakazi wa #WasafiMedia ambao Hawana Vitambulisho vya Kura Kuingia Katika Eneo lao la Kazi, Mpaka Watakapokamilisha Kujiandikisha Leo
#KurasaZaMagazeti #WFMKurasaZaMagazeti #NiUshindiTu #WFMNiUshindiTu