Duration 2:15

DKT MPANGO AHIMIZA WATANZANIA KULIPA KODI

198 watched
0
2
Published 22 Jul 2017

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewataka Watanzania kujenga utamaduni wa kulipa kodi kwa hiari ili fedha zinazopatikana ziweze kutumika kuwaletea maendeleo katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii.

Category

Show more

Comments - 0