Duration 13:31

Jinsi ya kufanikiwa kwa muda mfupi | Kupata kazi | Utajiri | Mapenzi | Pesa | Ushindi | Cheo

10 081 watched
0
197
Published 28 May 2021

Tumia njia hii kufanikiwa chochote ulichokwama. VIDEO YA NGUVU ZA MIUJIZA /watch/cxiy4xy ... JINSI YA KUTOKA NJE YA MWILI /watch/V8Jrf8r ... JINSI YA KUFANYA MEDITATION /watch/Uvo3VqTjrWMj3 KWA HAYA NA MENGINEYO TEMBELEA http://rakimsspiritual.blogspot.com/

Category

Show more

Comments - 119
  • @
    @FestoEliasMhh11 months ago Watu wengi wanataka ila hawana imani na hichi kitu; mm nimeelewa kwa licha ya kutamka, inahitajia kuamin kwamba itakuwa. 3
  • @
    @japhetochuro38712 years ago Na mim nahitaji nifanye je kuna njia zingine. 3
  • @
    @JonathanKebaso-yk8le4 months ago Sii hututafutie zire zakutoa kafara ya mbuzii au kondo juu hii uta ezafanya kesho upate ajali?
  • @
    @user-nt4ov4gl2o3 months ago Me naitaji kua najin je nifaenye yapi ili nimpate.
  • @
    @dieumerciundimundi43835 months ago Jambo kaka naitaji number yako ya whats up na code number asante taphazali nakusihi naitaji kujifunza mengine. 1
  • @
    @user-fw4ci3zn5v5 months ago Jamani kama kuna watanzania wamefanikisha kwa maswala haya basi tuelezeni nasi ambao tunatafuta kujikuamua na maisha magumu haya, tuweze saidia wenye uwezo mdogo. 3
  • @
    @jabirkassim62492 years ago Kaka ntajuaje kama ameshafika? Ili kueleza shida yangu. 1
  • @
    @user-ht8po7un8p3 months ago Somo zuli ila maelezo mengingi mafunzo ayaishi auja tuekeza sasa ujiansae vp kita tokea nn ufafanuzi aupo monyo ndio mengi punguza maneno mwalimu.
  • @
    @ahmadally83483 years ago Useful mantra, please i would like to use some more mantras, o spiritual guider. 2
  • @
    @shariphmahalim50458 months ago Maharim mm nashida yakuzungumza nww nkuomb.
  • @
    @user-yy7tg3eu6w3 months ago Habari za mchana, samahani naomba kuuliza, unielemishe kuhusu jini ninayemshikia anaitwa mami wata. Ni ji gani.
  • @
    @GasoreJuma10 months ago Kaka kila aliefaanikiwa kuwapata hawa
    wapo kabisaa.
    namim inshaallah nitawaita.
    1
  • @
    @user-ye1ow5mu6c10 months ago Okay mwalim mimi nauliza ukisha muita atajuwaaja unacho taka. 1
  • @
    @user-kc9lt8hs8i10 months ago Asante sana kwa darasa. Naweza kuonana na wewe? Ninashida zaidi nahitaji tuzungumze. 2
  • @
    @user-ss9gb6sy1q10 months ago Habari ndugu naomba kuuliza ukisema maneno hayo anakuja kiumbe au inakuaje.
  • @
    @HildaGerald-xq4dc10 months ago Mm nataka utajir mkubuwa lakini izi njia zako zote azini taki. 1
  • @
    @zachariamwiroli49607 months ago Tatzo una maneno mengi huendi kwenye point unaelezea sana vitu visivyousiana ukiwa unaelezea nenda kwenye point video znakua ndefu. 1
  • @
    @AnnaKajumi-ks4qjlast year Kaka mbona mm nimeita lakini hakijatolea kitu. 2
  • @
    @HildaGerald-xq4dc10 months ago Mwalimu mm nmesha fanya sasa namaliza wiki nsku kazaa sasa amuna matokeo yoyote ata kuwita jina lautajiri nimesha yaita sana lakini amuna matokeo yoyote nanina sikiliza vizuri amuna ninapo kosea maali lakini amuna matokeo. 1
  • @
    @user-pt7ww5rg8l3 months ago Kaka naomba namba zako nisaidie kufungua jicho la tatu.
  • @
    @mohammedowity41373 years ago Ni lazima uchore circle am pentagram ama. 1
  • @
    @user-ye1ow5mu6c10 months ago Yes my teacher good evening i' m trying to call her but i' m don' t see anything about that.
  • @
    @neemaabdallah82853 years ago Mwalimu habari tafadhar naomba mawasiliano yako.
  • @
    @user-mx8gb3xn9y8 months ago Maalimu mim naomba namba yako tuwasiliane nina mengi ya kuongea.
  • @
    @dullahrashid59703 years ago Je ukisema haya maneno na hakuna matokeo yeyote unafanyaje na ni mudagani inafaa kutamka haya manone. 1
  • @
    @malongeaxiome4526last year Naomba maelekezo sahihi ili nisipite njiya isiyo sahihi.
  • @
    @komboarts71103 months ago Sijaelewa kaka tunakupataje ili nipate faida zaidi. Nitashukuru ukija inbox.
  • @
    @lazarolazaro5497last year Hii natakiwa nifanye mda gani usiku mchana au asubuhi?
  • @
    @PhilimoniBkangeze-hg2lnlast year Natamani nipate namba yako unielekeze vizur.
  • @
    @kelvinally7384last year Vitabu unvyo soma kuusu uchawi vinaoatikana wapi.
  • @
    @malongeaxiome4526last year Kaka naitaji nambayako ya watshapp ili tuwasiliyane.
  • @
    @eliezergama707310 months ago Unaunganishaje unachotaka na hiyo mantra?
  • @
    @salumujuma04129 months ago Sorry mwl kama ninadharura ya hela afu sina chanzo chochote cha hela nikifanya nitapata hela?
  • @
    @dullahrashid59703 years ago Na maandalizi gani yanatakiwa kabla ya kufanya au kutamka hivi. 1
  • @
    @ishaqamohammed79222 years ago Kaka kwaio ukiitaj kufanya hivyo haiitaji kutumia udi wala ubani au kufanya katika chumba kitupu haitaj hivyo vitu. 1
  • @
    @SaidaDiriwa3 months ago Hbr. Maneno yako, yanatia moyo, lakini hujibu comment za watu, wala hutoi namba yako ya cm. Kama unania kweli yakusaidia wengine jibu basi mbona tunaishia kusikiliza maelezo tu, mb zenyewe ni, zakukopa kaka?
  • @
    @samunuratv90192 years ago Haina kafara badae naitaji maongezi na ww.
  • @
    @MetodMakungu9 months ago Kaka nabaada yakutamka hayo manene atasubili aje ndouseme hitaji lako? Au tasema tu hatakama haujamuna.
  • @
    @benedictodaniel18423 months ago Wewe nimwalim mzulisan ila maelezo unayatowa sana ila point fuifafanui vizuli, kwaulefu yani mwanzo unaongea sanaa ila pointi unaongea kidogo,
  • @
    @ramadhanihangolwa25003 years ago Mwalimu, umesema useme mara tano hayo maneno matano ila hujasema akija anataka nini! Na pia vipi unamuona! Ana masharti yoyote? Na kama humuoni atakupa kwa njia ipi! 1
  • @
    @stanslauskitale-xb1zplast year Mungu akubaliki kaka tunapata elimu endelea kutufunza pia naweza pata namba yako ya what' s up.
  • @
    @MedenMuthama-yb9gflast year Mfano unataka mali je utasema majina kisha useme utakacho ama utasema utakacho ndo uyataje hayo majina?
  • @
    @abrahmankhamis47058 months ago Mkuu ikiwa ucku panaulazma chumba kiwe giza au vp?
  • @
    @ramadhanihangolwa25003 years ago Na kama humuoni kuna dalili yoyote ya kujua kwamba yupo? Au baada ya kutaja hayo maneno mara tano basi unasema tu shida yako kwake? 1