Duration 2400

FAMILIA YA WATU 5 (MAMA WATOTO4) WALIOFARIKI KWA MSONGAMANO WA KUAGA HAYATI JPM, HAKIKA INAUMA SANA

1 222 watched
0
7
Published 25 Mar 2021

Mama na watoto wanne wa familia moja walifariki jumapili uwanja wa Uhuru kwenye msongamano wa kuaga mwili wa hayati JPM, Tuwaombee kwa Mungu wapumzike kwa amani, Mfanyakazi wao hajaonekana mpaka leo 😭😭😭💔😢🙏🏽 . . . ENDELEA KUFUTALIA KISA HIKI, TUTAZIDI KUKULETEA TAARAIFA JUU YA HUU MSIBA

Category

Show more

Comments - 1