Duration 5:39

Mamlaka -EAGT Chemchem Choir

1 353 watched
0
11
Published 10 May 2020

Karibu Katika kutazama Video ya wimbo huu wa Mamlaka " Ambao upo kwenye Albamu ya kwanza kabisa ya Kanisa la Eagt Chemchem - Yenye Jina la WAKOMA. WAKOMA " ni Albamu ya Kwanza kabisa kwa Kanisa la Eagt Chemchem chini ya Bishop Emmanuel Kabese, Albamu hii ina nyimbo Kumi na moja (11). WAKOMA " ni ufunuo kutoka katika Kitabu cha 1wafalme 7, Hivyo unaposikiliza Nyimbo hii na Albamu hii usikose kushare na wengine ili wapate Nafasi ya kumsikiliza Mungu kupitia kwaya hii ya EAGT CHEMCHEM CHOIR -OLASITI ARUSHA TANZANIA. Namna ya kupata Cd ya nyimbo hizi zote yani Albamu basi piga Simu hizi na utaletewa mpaka hapo nyumbani +255769042299 AU +255784721700. Email -Bernardmsanya@gmail.com. Mitandao yetu ya kijamii tufuate Facebook -Chemchemtv Instagram -Chemchemtv Youtube -Chemchem TV. Mungu akubariki sana.

Category

Show more

Comments - 3