Duration 9:7

| KILIO CHA MAMA | Mama alalamikia utepetevu wa madaktari baada ya mwanawe kufariki

41 839 watched
0
179
Published 24 May 2020

Mama mmoja amesalia na majonzi baada ya kifungua mimba wake kufariki baada ya kuishi kwa siku ishirini na mbili tu. Mercy wangare alijifungua mtoto huyo kabla ya miezi tisa kukamilika na anadai kuwa hali hiyo ilisababishwa na uzembe wa madaktari katika hospitali ya St Teresa Kikuyu. Aidha anadai kifo cha mwanawe kilichangiwa na madakatri wa hospitali ya bellevue south c waliokuwa wakitishia kumuondoa mtoto huyo kwenye kiangulio baada ya mama kushindwa kugharamia matibabu yake.

Category

Show more

Comments - 123