Duration 7:22

BWANA AMEJAA HURUMA - GRACIA SINGERS ( Official Video )

93 599 watched
0
459
Published 12 Nov 2020

Wimbo huu umeimbwa na Sehemu ya Wanakwaya wa Mt Don Bosco katika Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji NIT (WAHITIMU). GRACIA SINGERS ni Kikundi cha Wahitimu katika Fani Mbalimbali, waliohitimu Masomo yao hapo Chuoni kwa Miaka Tofauti. WIMBO: BWANA AMEJAA HURUMA MTUNZI: JOHN MGANDU WAIMBAJI: GRACIA SINGERS AUDIO: HOLY TRINITY STUDIOS VIDEO: HOLY TRINITY STUDIOS

Category

Show more

Comments - 70