Duration 5:23

NATOA VITABU HIVI BURE | CHUKUA | Ezden Jumanne

949 watched
0
58
Published 23 Sep 2022

Natoa vitabu hivi bure | Chukua | Ezden Jumanne Ili kujipatia vitabu hivi tafadhali tuma ujumbe kwenye whatsapp andika "VITABU 7" kwenda namba 0759-191-076 . KUJIUNGA NA KOZI YA KUZUNGUMZA: Andika "KOZI" tuma kwenda whatsapp namba 0759-191-076 Bei ya kozi hii ni : 20,000 TZS. . LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE . WASILIANA NA EZDEN JUMANNE Voice-over Talent/ Content Entreprenuer Instagram: @ezdenjumanne Twitter: @ezdenjumanne Facebook: Ezden Jumanne Phone: (+255)759 191 076 Website: http://tinyurl.com/voiceovertanzania . SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine: . HAMASA YA LEO👇🏽 /hamasayaleo . JE WAJUA?👇🏽 /channel/UCOfv ... . VOICE-OVER CHANNEL👇🏽 http://tinyurl.com/matangazo . . #Natoa #Vitabu #Bure

Category Education

Show more

Comments - 24
  • @
    @successpathnetwork2 years ago Kupata vitabu hivi tuma ujumbe kwenye WhatsApp andika "VITABU 7" kwenda namba 0759-191-076 6
  • @
    @ameirfaki92772 years ago Ulichokiongelea ni sahihi kaka Ezden... 1
  • @
    @neemaryan99472 years ago Hongera Ezden,, kusoma vitabu Kuna imarisha afya ya ubongo. 1
  • @
    @sleifikhajjir2622 years ago Brother ezden leo nimechelewa sana ila kiukweli nimepata madini 1
  • @
    @EdwardMajor082 years ago Safi sana kiongozi kwa kuzidi kutupa chakula cha ubongo.
    Mafanikio yote yapo kwenye vitabu
    1
  • @
    @marleshjimmy19722 years ago Nipo rwandaaa nakufatilia sanaaa nakukubaliii sanaaa manshallah ❤❤❤❤🙏🙏🙏
  • @
    @binmussamakame31082 years ago Hallo brather ezden unaendelea kutupa nondo safi sana zitakazo tusaidia katika maisha napenda kusema Asante 1
  • @
    @davidnjue62742 years ago Brother ezden naweza pata nikiwa Nairobi kenya 1
  • @
    @ManguMnada-kd6jylast year Nawezaje kupata link ya kudownload vitabu free? 1