Duration 700

Katika uteuzi wa Rais wa Mawaziri Dr Doroth Gwajima Ataendelea na Uwaziri wa Afya

111 watched
0
1
Published 31 Mar 2021

Rais Mh Samia Suluhu Hasan Ameteua baadhi ya mawaziri Siku ya leo ambapo waziri wa Afya atabaki kwenye nafasi yake ya uwaziri pamoja na naibu wake pia katika uteuzi huu wa Leo tumeona Ummy Mwalim akiteuliwa kuwa waziri wa Tamisemi kushika nafasi ya mh Jafo ambaye alikuwa katika sekta hiyo Mawazili wengi wameteuliwa ikiwemo waziri wa fedha mh Mwigulu Nchemba subscribe channel hii kupata update zote za siasa Asante

Category

Show more

Comments - 0