Duration 4:24

ALICHOKISEMA MKUU WA MKOA WA MARA, MAZISHI YA MTOTO WA DEREVA WAKE.

8 482 watched
0
45
Published 8 Aug 2019

Mtoto wa Dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara aliyepata ajali na gari la Mkuu huyo wa Mkoa baada ya kuliiba nyumbani bila Baba yake kujua, amezikwa jana Mkoani humo, ambapo mazishi yake yamehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Mkoa huo wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa ADAM MALIMA.

Category

Show more

Comments - 6