WACHEZAJI wa kabu kubwa Tanzania - Simba na Yanga zote za jijini Dar es Salaam, wana jambo ambalo hawajaweza kulifanya tangu lilipofanyika mwaka 1977.
Jambo hilo ni rekodi ya hat-trick iliyofanywa na mchezaji wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni 'King Kibaden' tarehe 19 Julai 1977, dhidi ya hasimu wao Yanga.
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com