Duration 34:20

LEMA: Siogopi Kufa, Tutaanika Siri Zote, Mbowe Kufungwa

200 942 watched
0
846
Published 28 Mar 2018

LEMA: "Siogopi Kufa, Tutaanika Siri Zote, Mbowe Kufungwa" Kamati kuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kufanya kikao cha dharura leo Machi 28, imetoa tamko kwa waandishi wa habari, kuhusiana na kushikiliwa kwa viongozi wa juu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, John Mnyika, Ester Matiko, Vicent Mashinji na Peter Msigwa. Baadhi ya viongozi wa Chadema waliozungumza ni pamoja na Makamu mwenyekiti wa Chadema, Profesa Safari, Godbless Lema na John Mrema, ambapo mkutano huo pia umehudhuriwa na Wajumbe wa Kamati Kuu akiwemo Edward Lowassa, Fredrick Sumaye, na Boniface Jacob. Akizungumza na waandishi Profesa Safari amesema, Chadema imepata pigo kwani kwa sasa chama hicho hakina viongozi kwani wote wapo rumande ndiyo maana kamati kuu imekutana na kuzungumza. Aidha Mh Lema, amesema lengo lililopo ni viongozi hao kunyimwa dhamana, huku akibainisha kuwa jambo hilo limepangwa na kushinikizwa na kwamba ipo siku wataamua kuanika siri zote imeshafikia hatua hawaogopi tena kufa. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli .

Category

Show more

Comments - 313