Duration 5:27

Erick Smith - Jipe Moyo (Official Video)

39 730 watched
0
772
Published 5 May 2019

Please like, share, comment and don't forget to subscribe to this Youtube channel. To set Jipe Moyo as your Skiza Tune, SMS "Skiza 7631945" to 811. BUY DIRECTLY ON ITUNES Song Lyrics Chorus: Jipee moyo mungu anakujua (be hopeful, god knows about you) Jipee moyo yupamoja nawee (be hopeful, he is with you) Punde si punde ataleta faraja (very soon he will bring you comfort) Punde si punde ataleta faraja- (very soon he will bring you comfort) Jibu kwa mahitajii yako, oooh (an answer to your need) Jibu kwa mahitajii yako, ooh (an answer to your need) vrs1: Aahh, siku za toshana (all days are equal) Aaah, lakini zote si sawaa aah- (but not the same) Usiku inapokuja lazima kutapanzuka (when a night falls, morning must come) Kila kitu na wakati wake (everything happens at its own time) leo ni machozi, kesho ni nderemo (today is sorrow, tomorrow will be rejoicing) Mateso ya mwenye haki ni mengi (the righteous man’s troubles are many) Lakini bwana humponya nayo yote (but the lord delivers him from them all) vrs2: Alisema anawajua walio wake He said he knows his own people Nawalio wake wanamjua And his own people know him Anaskia kilio chao, nao pia wamsikia He listens to their cry and they listen to him too Wanamuitaa baba, awaita wana They call him their father and he calls them his children Hata majira yabadilike najipaa moyo Even when situations change, i will be hopeful Maana najua bwana yupamoja nami For i know the lord is with me Hawezi niacha baba baba ooh, yesu He will never leave me, my father, ooh jesus Jipee moyo mungu anakujua Be hopeful, god knows about you Jipee moyo yupamoja nawee Be hopeful, he is with you Punde si punde ataleta faraja Very soon he will bring you comfort Punde si punde ataleta faraja- Very soon he will bring you comfort Jibu kwa mahitajii yako, oooh An answer to your need Jibu kwa mahitajii yako, ooh An answer to your need Ooh yesu ee Ooh jesus Bridge: Yesu – (yesu) Jesus - (jesus) Mfariji mwema – (mfariji mwema) the best comforter - (the best comforter) Yesu – (yesu) Jesus - (jesus) Hawezi kuaacha – (hawezi kuaacha) Will never leave you- (will never leave you) Yesu – (yesu) Jesus - (jesus) Mfariji mwema – (mfariji mwema) the best comforter - (the best comforter) Yesu – (yesu) Jesus - (jesus) Hawezi kuaacha – (hawezi kuaacha) Will never leave you- (will never leave you) Punde si punde ataleta faraja Very soon he will bring you comfort Punde si punde ataleta faraja Very soon he will bring you comfort Jibu kwa mahitajii yako, ooh An answer to your need

Category

Show more

Comments - 129