Duration 2:39

JIMBO ALILOTOKA DR. MPANGO SASA KUMENOGA WATU 11 WACHUKUA FOMU ZA KUUTAKA UBUNGE

2 428 watched
0
7
Published 17 Apr 2021

Zoezi la uchukuaji fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Buhigwe - Kigoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), limeanza leo katika ofisi ya CCM Buhigwe. Awali Jimbo la buhigwe Mbunge alikua ni Dr.Philipi Mpango kabra ya jina lake kupendekezwa kua Makamu wa Rais wa Tanzania.

Category

Show more

Comments - 6