Duration 8:11

WEMA SEPETU ATINGA KWENYE BIRTHDAY YA GIGY MONEY NA GARI LA KIFAHARI

16 333 watched
0
82
Published 17 Jun 2021

Usiku wa jana ilifanyia Birthday Party ya msanii Gigy Money ambapo mastaa mbalimbali walifika kwenye party hiyo iliyofanyika maeneo ya Mbezi Beach. Wema Sepetu ni miongoni mwa mastaa waliofika kwenye party hiyo, Tumekuweka video hii inayokuonesha wema akiwasili itazame kisha weka maoni yako hapo chini.

Category

Show more

Comments - 37