Duration 4:13

OBAMA ATALII MBUGA ZA SERENGETI, AVUTIWA NA UTALII

47 802 watched
0
110
Published 15 Jul 2018

Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama ameeleza kuridhishwa na vivutio vya Utalii katika hifadhi ya taifa Serengeti. Akizungumza na waandishi wa habari, Mara baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na Obama, Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kikanda, balozi Dk Augustine Mahiga amesema, Obama ameeleza kuvutiwa sana na Serengeti

Category

Show more

Comments - 46