Duration 25:3

SAKATA LA MBOWE KUNG'ATUKA CHADEMA/UTENDAJI WA RAIS SAMIA/MANYAMA AFUNGUKA

2 260 watched
0
17
Published 14 Jun 2021

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Kawe na ambaye alikuwa miongoni mwa waliojitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya urais kupitia chama hicho, Leonard Manyama amesema tangazo la Mbowe kutaka kung'atuka ikifika 2023 ili kuwapisha wengine kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama taifa ni jambo jema lakini bado Chadema inamuhitaji zaidi Mbowe kuliko anavyokihitaji chama. Akizungumza na MwanaHALISI TV, Manyama amesema, Mbowe amekitoa mbali chama hicho na kuwa wale waliokuwa wakimsakama ya kuwa ni mbinafsi hawapo sahihi kwasababu bado wanachama walikuwa wakimhitaji, na wengine walikuwa wakitumika na wapinzani wa Chadema. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402), 🔘WhatsApp ( +255 692 318213) 🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Category

Show more

Comments - 8