Rangi Nyeusi ina maana nyingi kinyota. Nyota yako inaweza kuendana na rangi nyeusi au isiendane. Rangi Nyeusi ina siri kubwa sana. Ijue siri kubwa ya rangi nyeusi katika episode yetu ya 22
Mnajimu Kuluthum anatueleza jinsi Nyota yako inavyoweza kukusaidia katika maamuzi haya.
Kama kawaida, usisite kutuachia maswali yako.
Kujua Nyota yako kabla ya kufungua biashara yako ni muhimu sana. Kama unamaswali utatupigia simu au tuachie comment hapo chini.
Tembelea Facebook account https://web.facebook.com/utabiriwanyota