Unadhani ni kwa nini baadhi ya mawaziri katika serikali ya rais Uhuru Kenyatta wamejiiingiza kwenye siasa za urithi wa mwaka 2022? Ndilo swali vichwani mwa wachanganuzi wa maswala ya kisiasa kufuatia mgogoro unaoendelea kutotokota kati ya wafuasi wa naibu rais William Ruto na baadhi ya mawaziri serikalini wanaompigia kampeni kinara wa ODM Raila Odinga. Murimi Mwangi anapiga darubini safari ya mawaziri wa rais Kenyatta na kueleza kwa kina kwa nini huenda siasa zikaongezeka kwenye baraza la mawaziri hata zaidi mwaka ujao.
#LiveStream #LiveNews #KTNNews #KTNPrime
Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World.
KTN News Live stream - Nairobi, Kenya
Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: /
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews