Duration 26:25

SIKU MAREKANI ILIPOONJA KIAMA / THE STORY BOOK SEPTEMBER 11 (Season 02 Episode 01)

535 915 watched
0
6.8 K
Published 19 Jun 2020

SIKU MAREKANI ILIPOONJA KIAMA / THE STORY BOOK SEPTEMBER 11 (Season 02 Episode 01)

Category

Show more

Comments - 576
  • @
    @maulidipeter61244 years ago Marekani wana siasa ya ovyo xanaaa anajali xanaaa uchumu kuliko maixha ya watu wake .
    Always marekani hawapendi Muslims Allah atazidi kuwaumbua 2 kila xku
    54
  • @
    @surusuru1994last year Wazung sitakaa niamin I love people Muslim haki saaaw allahmdulillah 🇴🇲🇹🇿🇮🇶 7
  • @
    @safarikikaadrien1084 years ago Diamond akikunangania mpaka watakupenda tu 🤣🤣shikamo jamal washaanza kukuelewa 78
  • @
    @bobrama58444 years ago Jamal kuanzia leo sitakuwa na mashaka tena kuusu uwezo wako...we ni mkali sana 55
  • @
    @bakarichombo87764 years ago Jamal uko vzr piga like kam tunaend sawa 107
  • @
    @mpembajuice87804 years ago yaan hii story nimeirudia zaid ya mara20 maana inasisimua sn mungu akuongoze kwa kuieleza dunia ukwel juu ya ugaid na uislam watu wasivichanganye kwa pamoja allah atakulipa dunian na akhera 20
  • @
    @monayzertv66964 years ago Ikumbukwe kua huyu ndo alikua muandishi wa story zote tangu uwepo wa mtiga Abdallah 109
  • @
    @davidhaule73804 years ago We mtu ni noma asee nimekukubali 100% unajua ase.. wangapi wanasema yule mtiga sijui abdalah kashapotea huko efm alipoenda hebu reply hapo tuone 144
  • @
    @amonedson82084 years ago Jamal unatisha kama moto wa kuzimu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 30
  • @
    @babubro32304 years ago Una juw san weny tuna mfatiliya
    Ujama ginga Laik
    40
  • @
    @younggenius49394 years ago Jamal april 💥💥💥number one story research professor 72
  • @
    @bmpchanneltz24384 years ago Uzuri wa story za Jamal yaan ukiianza huwez kushia njian💪 16
  • @
    @deusdeodavid53604 years ago Mungu siku ya mwisho atuinyeshe siri zote hizi 19
  • @
    @ignastitus26864 years ago Natamani kuwa Kama wewe na Soma ili nime Kama wewe kwasababu nakuamini 32
  • @
    @juliaayieta25784 years ago Bora usinipe chakula ila unipe WiFi nitazame the story book 📖 😘😘😘😘😘😘 111
  • @
    @skinblack6034 years ago Weeweweeeeeeeh jamaaaaaa hatariiiiiiiiiih 19
  • @
    @shakuekilifisafaridhowscap4402 years ago Lengo lilikuwa ni kuwapakazia waislamu kuwa ni magaidi Hadi Leo dhana hii Imekuwa kwenye mioyo ya wasiokuwa waislamu,thanks bro Kwa Kuilimisha watu.Allah is above All 3
  • @
    @miirajmohamed63524 years ago Jamani watanzania wenzangu si kama na beza au si vutiwi na brother..jamaal badala ya kuchangia mada iliyotolewa nyie mnang'ang'ania na kumsifu msimuliaji/mtunzi hivi kweli tunazingatia haya yasimuliwayo na tunayaelewa... ... 20
  • @
    @tanzanian88474 years ago Ahsante kaka kwa kuelimisha ulimwengu. Mungu akulipe na azid kukuongoza ktka haki. 47
  • @
    @ommykhan17484 years ago Aaaah umejiwek live now. Story zako za uhakik yan 27
  • @
    @josephmonje79982 years ago Bro unachosema niwachache sana dunian wanaojua ukweli. wee fikili mjengo wa gholofa 110.. yenye nondo zilizo shiba engineers wenye akili yoyote.. ndege haiwez kupasua gholofa.. niuongo mchana kweupe. big up bro well said. 5
  • @
    @kigomaujiji75684 years ago Ubunifu wa hali ya juu sanaaaaaa big up 52
  • @
    @mkalilodyamasumbuko90002 years ago For a great nation like America they're so intelligent in plotting conspiracies, I agree with this explanations by 95% 25
  • @
    @buharimwanga2844 years ago Kaka hili tukio kwa wenye akili tunajua tu ni la kupangwa na wamelifanya wenyewe na kuna sababu wanayoijua wao kufanya hivyo. 10
  • @
    @jahome21174 years ago Sura yako nimeona leo kaka sauti yako ya kihistory huwa inanivuta kwemye channel yako kila siku .😂😂
    Likes zangu
    9
  • @
    @djgeorgekiller36174 years ago George W Bushi mwenyewe ndio Mimi nipo buza 17
  • @
    @evallyneliudy81674 years ago Duu! Yan kaka Jamal uko vzr, ntakutafuta tuongee mekupenda bure 8
  • @
    @kinanaomar7 months ago Asubuhi ya siku hiyo nilikuwa uwanja wa ndege niki taka kusafiri kutoka New York na kuelekea Atlanta lakini kutokana na uvamizi huo potofu safari yangu haiku wezeka tena. Na kama umarekani ina weza kuzuwia matukio mbali duniani itakuwa je wasi weze kuizuia. Kwa hivyo tukio hilo kulikuwa tukio la kuwa potosha watu tu. Na mpaka hivi hakuna familia yeyote wanao lalamika kuhusu watu wao na hakuna familia za mapilot wa ndege hizo. Na tukumbuke kuwa huo ndio ilikuwa ndio mwanzo wa ndege zisizo na rubani yaliyo nakuachia ili unganishe dotes mwenyewe ... 1
  • @
    @didasnyongo34444 years ago Brother Jamal u have something special, vijana wengi wajifunze kupitia wewe kaka, creative & innovative person 17
  • @
    @princeshamamba4 years ago One of the best documentary from speaking to Video 🔥🔥🔥🔥🔥 64
  • @
    @salimgamal4 years ago Duuuh Amerika hatarii sanaa lkn Mungu Atawatosha🙏 21
  • @
    @Nzinyangwa4 years ago Akili kubwa sana hii asee,, JAMAL THE BEST# 6
  • @
    @anasabrahaman144 years ago utabaki kua juu jamaal inshaa Allah akuzidishie zaiiid ugaid ni wa kukemewa kwa nguvu zote hakika 5
  • @
    @joackimmwankenja81804 years ago Incredible story teller, natamani story zote uzisimulie wewe brother. 17
  • @
    @husseinc4 years ago Eti kipindi hicho walikuwa awana taarifa za kiiterejensia Hila sasa wanazo na kutoa taadhari kwa mataifa mengine. Hilo shambulizi lilipangwa na wenyewe wamarekani hili kuhalalisha uvamizi wake 10
  • @
    @humphr_23 years ago Jamal the best story teller mi hubambika na sauti yake😂😂then uongea ki-genius 5
  • @
    @olekarai2 years ago It's a lesson for African continents to understand whom we call super powers are capable of... Yet We beg them like gods..,. 10
  • @
    @fidodidotz30124 years ago Hii nimeiyelewa sanaaaa mzee baba ongela sana wasafi baba lao 6
  • @
    @dibah6133 years ago Waah jamani halitasahaulika..mwenyezi mungu wakumbushe watoto wako na uzidi kulete Amani duniani 2
  • @
    @satwanthoogan67462 years ago Kwa kweli hili tukio limenisikitisha sanaaaaaa!😭😢 8
  • @
    @muzahimabdillah7044last month Dah noma sana unasimilia na ushaid unatoa mpk wa vitabu good job 👏
  • @
    @nichorausyombayomba36277 months ago Simulizi zako zinavutia sana ila unapousimulia,uislamu na ukristo hapo ndio unapochanganya madawa unabeza upande mmoja na kusifia upande mwingine toka hapo ndio unapoteza utamu wote wa simulizi zako
  • @
    @sharifabdi48744 years ago Uko njema sasa bro jamal April Allah akuwekee thanks let us know this 14
  • @
    @davidmaisely74873 years ago Mh! U.S.A. sio watoto kiasi hiki ..ahsante kwa story 3
  • @
    @bahatimachinda80793 years ago Kiongozi nakukubali sana unaleta story book nzurii sana kwa utafiti wa juu BIG UP JAMALI 5
  • @
    @yossihayun8 months ago Mwendo wa saa kumi na moja jioni, 2001 niliona hizi video ilikua kama movie... Kuna waamerica waovu sana,
  • @
    @hebertotanaely66074 years ago hta mm huw siaminig,,inawezekanaje kwan wangeanzisha vita bila ya hivo na kumuua Osama bado hakun angewazuia 4
  • @
    @khasianussamson62274 years ago Unajua na nahisi shule ipo pia kichwani! Unaeleweka,unaspeed nzuri ambayo haifuji bundle zetu! Unaenda deeply kifupi mondi akuongezee bonus kaka🙏🙏 3
  • @
    @mohamedjuma18782 years ago Ni wazi kabisa hizi zilikuwa ni chuki za wazi zidi ya uisllam laanatu Allah alayhi Bush
  • @
    @jackiedennis62404 years ago Why don't you have your own page under wasafi still. Mtu anaeza ona kazi zako zote kwa upamoja? Like season 1 lazima mtu atafute.
    Nice work and very addictive 👍👍👍👍👍
    21
  • @
    @MageWilfredi-fh3fflast year Nakubali kazi zako jamali naitwa tuzo jina halisi napenda biashara ,tutafutie na stori za wafanyabiashara wakubwa , 1
  • @
    @otmanmbwilo9117last year Iv Marekani kabisa ishambuliwe kirahisi hivyoo kuna siri chini ya pazia
  • @
    @rakamogy10074 years ago America inaona dunia nzima ni ya babu yake,Mungu ndo mkuu wa vitimbi atawanyoosha tu 3
  • @
    @emmanuelpaul4654 years ago Brooo sauti yako kali unamshinda hata mtiga abdalah ..du mwanzo nilikua siipendi sauti yako lakinisasahi nastory unazo simlia zinanivutia sanaaaaaa 🎅 5
  • @
    @revocatuskalumuna57892 years ago bahat nzur ni tetesi wote hatujui ukwel ila bahat nzur ugaid ulipunguzwa
  • @
    @RaphaelMwaisope8 months ago Weeh brother n noma kinoma an nakibal ujawah kutuferisha big up to you brother 1
  • @
    @justinedaniel3205last month Jamal anamjua vizuri Dick Cheney?, amemsoma individually?, au anasikia na kumsoma tu?,
    Obviously hajafanya tafiti moja kwa tukio moja bali amejumuisha kuunga mkono anachotaka wasikilizaji wake wakiamini.
    Bahati mbaya sana mwanahabari mzuri sifa hizi sio zake.
    ...
  • @
    @frankmailu9434 years ago Jamal nimekuelew
    Wasafi wakati unawawangia wenyew wanatafuta mtu mzuri zaidi ya pengo ulilotoa
    Bro nimekuelewa
    3
  • @
    @maryusalum31254 years ago Ubarikiwe katika kazi yako maana mengi nilikuwa siyajui lkn umenifanya nijue mtagi 2
  • @
    @winfridmsindo9844 years ago Nakumbuka wewe jamaa watu wengi walikupinga Sana ila Leo u Moto sana 1
  • @
    @barakamatata12524 years ago Brothers wewe ndio fundi wa hapa tz 🇹🇿 2
  • @
    @jaymandy81362 years ago Mimi nilichojifunza hapa ni marekani ndo hua unafadhili ugaidi wote Duniani na yote ni kwamalengo ya kuichafua dini ya kiisilamu na kuwauwa waisilamu wasiokua na hatia.
  • @
    @hamisimkima1172 years ago Hakika Mungu 👈 Anapanga Mudawake wa kumtetea Mjawake Na Diniyake Hakika jamar we ni Mpambanaji
  • @
    @user-rr6ch1dr7p3 months ago watching from Kenya...things going crucial in Babylon...Black Tuesday, black Friday 🔥🔥
  • @
    @kassimmurji6322 years ago Uko vizuri ni kweli unayoyaongea ni mchezo wa marekani muelekeo wa world otder,
  • @
    @reisedyy49104 years ago Maamaaaeee umeuaa leo ndo umeua kuliko zote 2
  • @
    @SamuelMwiti-gn4kw11 months ago As the greatest fan of the ST B like this kind of truth jamal.what such a gift from God. 1
  • @
    @saidabdullasaid20734 years ago Hakika chuki ni mbaya Sana, na daima ukweli hawez kujificha utatoka tu na kufufuka uliko. 3
  • @
    @saidantugwa76714 years ago Much talented broo jamal ...now nmeanza kkuelewa!! Take 5 big up!!!!! 42
  • @
    @mpembajuice87804 years ago daah jamal ww ni professional wa kuchimba habar yaan umempoteza mtiga piga kazi mwanangu usiwe km mtiga ss hv anatangatanga tu mara efm mara sijui wp yaan hata haeleweki respect jamal mustapha hatimaye wamekuelewa
  • @
    @JuniorDasilva-gu9gn10 months ago Imazing God give people talent to learn their brothers like us God bless u jamal april 2