Duration 10:50

Waliotoka Mtwara mpaka Dar kwa baiskeli wamjibu Kikwete | Tumetumwa kichwa, mkia, utumbo na mapupu

21 503 watched
0
109
Published 2 Jan 2020

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Yanga #Kikwete

Category

Show more

Comments - 51
  • @
    @clementhiddi14864 years ago Safi sana brother, jokes aside, you' ve talked sensibly as a sportsperson. 1
  • @
    @miriam57354 years ago Wa pili jamani like zangu, yanga baba lao. 19
  • @
    @hosiananziku22614 years ago Safi sana mwenyezi mungu ajalie afya njema mume kuwa mfano kuigwa tutafika tu. Hatunatimu kuipenda tumeipenda wenyewe hatuna timu nyingine yanga mbele nyuma mwiko. 4
  • @
    @husseinmohdbulushi17244 years ago Yanga mnatisha
    simba wakae chonjo.
  • @
    @ramadhanimahongole87644 years ago Daah isee me ni simba lakin maneno ya huyu jamaa nimefurahishwa nayo kwani ameongea kiungwana sana. 4
  • @
    @hamzashui5764 years ago We mwenyewe unaongea umepoa hivyo hahahaha.
  • @
    @henedferej22014 years ago Hongereni mlibeba vzr majini
    yenu na tumeyaona naona mmeshakuwa mabingwa.
  • @
    @aboyfromkilosa47144 years ago Wakifungwa mtwara watapaona kama marekani vile daah sema apo ndo utofaut wa anayeishi kijijini na mjini unaoneka vidume vya mjini vimeshazubaa na daladala umpe baiskeli ata mkulanga hafiki.
  • @
    @fahadfahmy4 years ago Safari kama hiyo halafu unakuja kufungwa sita, lazima wakati wakurudi utumie ndege. 1
  • @
    @vonexmobile91164 years ago Mkishapigwa 5-0 ndo utakubali mko baridi. 4
  • @
    @samsonvyunga23704 years ago Siku yaja yanga mtalia na kusaga menoo. 1
  • @
    @abdalahfarida20744 years ago Simba mtori tu hakuna kitu mbele ya umoja wa wananchi. Wafadhili wa yanga jitokezeni kikamilifu tuchukue ubingwa 2020. Timu ni nzuri pesa ndio hakuna.
  • @
    @hamisiramadhani69254 years ago Mkipigwa 6-0. Hizo baiskel mtaziacha dar. 3
  • @
    @aboyfromkilosa47144 years ago Ila huyu jamaa mtwara kahamia tu maana rafudhi yake sio ya mtwara. 1
  • @
    @hamisiramadhani69254 years ago Hawa wametoka vijijini wamekimbia familia zao, maisha magumu.
  • @
    @ibrahimkadibo8104 years ago Simba ni mnyama na anajulikana, hilo jina la yanga ni kitu gani ni mdudu mjusi kimba au kigani.
  • @
    @ibrahimkadibo8104 years ago Hiyo picha ndo ukweli wenyewe. Lkn gsm ni kisingizio.
  • @
    @ismailkasim79604 years ago Kama utapata na pumbu za manara nitunzie. 2
  • @
    @hamisiramadhani69254 years ago Waongo wakubwa, nyie wamakonde ni wazushi, mlipanda basi. Hili tukunyema haliwezi kuendesha baiskeli,