Duration 13:54

Samatta aeleza kwanini ni Alikiba/ kikosi /tuhuma za kuiba mchezaji

120 119 watched
0
656
Published 8 Jun 2018

Mshambuliaji wa timu ya Taifa na klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta amefunguka kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu mtanange wake wa hisani dhidi ya muimbaji Alikiba ambayo utachezeka hapo kesho katika Uwanja wa Taifa jiijini Dar es salaam.

Category

Show more

Comments - 84