Duration 15:2

OMBA USIPATE MKE WA JINSI HII-MCH;DANIEL MGOGO

543 366 watched
0
2.2 K
Published 22 Sep 2021

Mwombe Mungu asikupe mke wa jinsi hii

Category

Show more

Comments - 121
  • @
    @alice-sd1svlast year Be blessed man of god for the preaching of the gospel. 1
  • @
    @erastosanga169411 months ago Thanks god for the priest whose preaches the perfect things to the believers.
  • @
    @user-ft6tx7xn8s6 months ago Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu.
  • @
    @faridahkiwambe81523 years ago I like your preaching mchungaji, keep on serving the leaving god. 4
  • @
    @cessdan35953 years ago Av back slided nko na almost mwaka mzima kama ciendi kanisa. Mtumishi naunganamahubiri yako uwa najiskia nikoakubariki. Naungana nawe nikiwa. 4
  • @
    @maryamayitsa61813 years ago Hallelujah nitabeba kanisa mgongoni, naungana nawe nikiwa amen. 7
  • @
    @zadokinsanzuwera397last year Ooh dear mchungaji ahsante sana kwa mahubili haya nasikiliza kutoka nakivale camp in ugada nimebalikiwa sana mungu azidi kukurinda.
  • @
    @patrickkalahuka6340last year Ubarikiwe na ulindwe n' a yesu christo wanazareth.
  • @
    @deboranungura62602 years ago Ubarikiwe sana mtumishi nayaelewa sana mahubili yako.
  • @
    @venuncemdenya85992 years ago Upo vizuri sana baba mchungaji mana mafundisho yako nimeyaelewa sana yani nimeelewa sana.
  • @
    @pastorchristopher7582 years ago Hapo mchungaji nimekubar kwa ujumbe was msingi wa kaninisa.
  • @
    @rashidifilimoni70612 years ago Mzee uko vizuri kama sio gharama kukureta kwetu tungekuomba ujee.
  • @
    @johnpaschael71583 years ago Mungu akuzidishie hekima na busara. Uendelee kuihubiri injiri ya bwana.
  • @
    @majaliwamahenge36583 years ago Barikiwa mtumishi mbeya lini nimekumiss.
  • @
    @steventemba23532 years ago Kaka mahubiri yako sawa kabisa ubarikiwe.
  • @
    @daudisakala86493 years ago Daah yaani me nikiskiliza maubiri yako huwa nabarikiwa sana.
  • @
    @christianjean27522 years ago Tunakufuata kwa makini kutoka bukavu/congo.
  • @
    @doreensamwely87402 years ago Mgogo we, ety mchunga kondoo abebi mimba ya kondo.
  • @
    @charlesmacharia70273 years ago Ubarikiwe sana rev. Daniel napeda mahubiri yako ya kweli kabisa.
  • @
    @vumiliaamosi23423 years ago Ubarikiwe mtumishi, nabarikiwa sana kwa neno lako.
  • @
    @williammanyanda36293 years ago Ubarikiwe sana much daniel nabarikiwa na mahubiriko kabisa. 15
  • @
    @kuziririzaisabatosiitegeko70882 years ago Wanafunzi wa siri yesu hawaciya kanisa, wasiri hawajukani na sisi anaye wajuwa ni mungu hawo hatuwezi kuwazungumuza kwani ya sirini siyetu.
  • @
    @aminamtikaonlinetv73053 years ago . Nimecheka sana, eti bwana yesu roho yangu naiweka mikononi mwako. . 1
  • @
    @jailiningonyani57293 years ago Da mi nimwisilam lakini haya maneno yamenifundisha kitu.
  • @
    @godfreymbuya26593 years ago Hakuacha kanisa aliacha karama na vipawa. Hivyo vipawa na hizo karama ndio vilizaa kanisa. Bila vipawa na karama hakuna kanisa, kuna wapagani wastarabu. 2
  • @
    @charlesmakuri7922 years ago Hivi yupo wapi huyu hawandio wanaongeza utali.
  • @
    @rahellubandila19283 years ago Marko -12 hili neno la Mungu liko upande upi kwa hao wafungua kanisa? Patakemewa uzinzi kweli hapo? Nijibuni 3