Duration 5:47

DKT TULIA AMTAMBULISHA MUME WAKE, AKICHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE “TUMEWAACHA WATOTO NYUMBANI”

129 980 watched
0
311
Published 14 Jul 2020

DKT TULIA AMTAMBULISHA MUME WAKE, AKICHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE “TUMEWAACHA WATOTO NYUMBANI” Naibu Spika wa Bunge Tulia Ackson Leo Julai 14, 2020 naye amefika katika ofisi za CCM jimbo la Mbeya Mjini kwaajili yakuomba ridhaa ya chama hicho ili Kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge wa Jimbo Hilo.... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 107
  • @
    @madolaclassic1172 years ago Jaman naomba sana spika awe mwanaume....
    Yani kwa ili wabunge msifanye makosa,ila turia awe naibu tu.....
    Najua wenye upeo wamenielewa...🙏
    4
  • @
    @msetikebwasi68954 years ago Anatabasamu tu,vipi wakati wa kutoa dozi sasa,,,,,anaifurahiaaaa mpaka anasahau majukumu yke kwa muda flani si ndiyo hivo jamani.Gonga like twende na utamu ule ile. 9
  • @
    @radhiasalum71562 years ago Ndo kwanza namuona mumewe.kumbe anawatoto hongera sana 4
  • @
    @amenyemwansile6314 years ago Safi shemeji yetu Kwa speech yako nzuri 3
  • @
    @jamesmahatane27234 years ago Wanadam mnaongea maneno mengi mungu ana waona hongera tulia na James mungu kawaona pigeni kazi 1
  • @
    @ashrafhosseni40512 years ago umependeza sana dadangu mmewako amepata mkemzuli jitaidi Dada utapata ubunge muombe mungu 1
  • @
    @angeluslijuja34082 years ago Wanene wana wapenda wembamba ata mimi nampenda tulia kumbe umeolewa daa hongera mkuu umepa kanisa nakuomba wivu 1
  • @
    @user-xo3bf3hm3p6 months ago Pole kwa unae mwona hafai ila jua anaitano tena sugu akalale kwao
  • @
    @issackchalahani12354 years ago Tulia Dada angu unajisumbua! Huwezi shinda uchaguzi kwa sanduku LA kura Mbeya Mjini tena mbele ya Ndg. Joseph Mbilinyi a.k.a "Sugu." Wala sikudanganyi unajua japo unapewa moyo na wateule wa rais na dola. Siku hiyo patachimbika Mbeya na nadhani ingependeza ubaki kuwa viti malumu na naibu spika wa kuteuliwa na sio kuwa mbunge wa kuchaguliwa. ... 4
  • @
    @calvinkitaly93764 years ago Tulia bungeni ulikuwa huelewekieleweki. 4
  • @
    @elizabethkalinga08222 years ago Baba Mungu akubariki Sana Kwa Utumishi Uliotukuka uliopo ndani yako.
  • @
    @halifajuma5452 years ago Haya mambo ya (ammmu )kama wazungu sisi wafrica wazungu wame tupa nini
    Kwanini msiseme( eeee )ammmu ndio imezidi
    1
  • @
    @naomikatharinaandrewmnkai67606 months ago Msifiee kabisaaaaa usijekosa chakulaaa
  • @
    @timboxlee9196 months ago Roho mbaya Sana na sura mbaya huyu DP world
  • @
    @solomonmpuluma2824 years ago Mmm, tumwachie Mungu tu. Mimi nawapenda wote Tulia + Sugu. Ila kumbe mume naye ana upeo. Hlf anasema ni mtaalam wake 😂😂 ! Lakini inapendeza hivyo. 2
  • @
    @braysonchalamila11994 years ago Bro nimemkubali. Atafute jimbo tu naye atie nia.
  • @
    @edithajoseph76752 years ago Mimi naomba spika achaguliwe mwanaume naomba sana wabunge msifanye makosa kwani mkifanya makosa itaendelea kutugarim. Mungu ilinde Tanzania 1
  • @
    @rehemamasoud36874 years ago Unafaa saana mama kwanza uyumbishwi na mtu 1
  • @
    @ramadhanijuma42044 years ago Mumewe ameruhusu, "Yupo tayari kutumika" 3
  • @
    @frankremishoy57782 years ago Mshamba tu hawa ndyo wale waminyaji wa democracy.
  • @
    @nyekingobwire63273 years ago Haya sasa sugu kapata nimi.turiya oyeee oyeeeee
  • @
    @johndaud16634 years ago Sugu haumtoi ng'ooooo 2015 alishinda kwa kura laki na elfu 10, kwa elfu 40 2
  • @
    @benedictmrisho59472 years ago Kila mwanamme atakayebofoa weka mwanamke hadi mfumo dume ufe
  • @
    @matundukafwila57544 years ago Yangu macho kuangalia vyuma vinavo suguana
  • @
    @pantaleokulaya21124 years ago Tufahamishwe huyo mme wake tulia anafanya kazi gani ? 1
  • @
    @zulfaissa78142 years ago Ilapesa zinanga'arisha watu wallah inaonyesha mgekua hamnapesa kamamie ingekua kilammoja anamshinda mwenzake
  • @
    @hebronmalatila61864 years ago Tulia ! Umenogewa na Mishikaki China! Unamwalika Mr. wako aache Ajira yake ili mwongeze kipato kwa kwenda kubweka ktk mjengo wa Watanzania ? Ubungo siyo shamba la bibi.
  • @
    @kadamlwenje76294 years ago Ili mwanamke awe mrembo awe na vigezo gani?🙄
  • @
    @joycemagessa3504 years ago Hafai hata kuongoza kijiji msifanye kosa .hana sida za uongozi Mkoloni asimamii haki .hafai kabisaaaaa
  • @
    @pettermasika91204 years ago SUNGU ACHIYA NJIA TULIA AANZA KUTAMBA, KATI YA
    WANAWAKE MAKINI WANAO
    ISAIDIA TANZANI DK TULIA NI
    MOJA WAO' MWENYEZ MUNGU
    HILI TAIFA LAKO LA TANZANIA
    TWAKUOMBA UTUPE VIÒNGOZI
    MASHUHURI^. UTUPE. KWA WEMA WAKO.BABA MUNHU
    ...
  • @
    @kakorejrboyz64474 years ago Ila watu wengine ubunge munakuja Kijiji I kuishi mjini VP
  • @
    @emanuelmwanga44 years ago Dada yuko poa ila jamaa kama. Vile anakula ganja 4