Duration 9:42

2019 MWANAFUNZI ALIYE ONGOZA MATOKEO YA DARASA LA SABA MKOANI MBEYA NA KUSHIKA NAFASI YA 8 KITAIF

6 625 watched
0
46
Published 20 Oct 2019

Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza kiwilaya (RUNGWE) ,kimkoa (MBEYA) na kashika nafasi ya nane KITAIFA,Kutoka shule ya GODS BRIDGE ENGLISH MEDIUM. Mwanafunzi huyu alieleza siri kubwa ya mafanikio yake na huku akimshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi aliyo ipata,Lakini pia aliwashukuru waalim pamoja na wazaza na walezi walio fanya jitihada za kuhakikiksha anafika alipofika. Pia waalim walieleza mengi ya msingi yanayo ifanya shule hiyo kufanya vizuri. Piana mkurugenzi wa shule hiyo alieleza kuwa umoja,na mshikamano ndio daraja kuu la mafanikio waliyo weza kuyapata katika vipindi vya takribani miaka 4 kwa mfurulizo

Category

Show more

Comments - 6