Mgombea urais wa Chama cha NRA, Leopold Mahona amesema uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 unatakiwa uwe huru na haki ili Watanzania wachague kiongozi wanayemtaka.
Leopold amezungumza hayo baada ya kuchukua fomu katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mjini Dodoma.
LISSU ALIVYOKUTANA NA MEMBE, ZITTO MKUTANO MKUU ACT WAZALENDO
/watch/sMlTlrrCXx-CT