Duration 7:15

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI;Yajue mambo 10 muhimu ili kuku wa kienyeji wakupe faida.

4 128 watched
0
28
Published 2 Oct 2021

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA : Kuku wa kienyeji ni chanzo kikubwa cha asili cha mapato na lishe katika kaya / familia. UANZISHAJI: Wapi utafute mbegu nzuri: • Kwa majirani. • Kwa ndugu na jamaa • Kwa wafugaji wengine ambao wamekusudia kuuza kuku wa mbegu. • Sio vizuri kutafuta mbegu sokoni au kwa wafanyabiashara wanaotembeza kuku mitaani kwani:- • Huwa tayari wameambukizwa maradhi. • Ni vigumu kutambua umri wa kuku unaemnunua. JINSI YA KUCHAGUA KUKU WAZURI WA KUFUGA: • Wawe ni watagaji wazuri wa mayai. • Wawe wanapenda kulalia mayai na wana historia ya kutotoa vizuri. • Wawe hawana magonjwa au wadudu kama chawa, viroboto, utititi n.k. NJIA ZA UFUGAJI:- Njia nzuri ya kufuga kuku wa kienyeji ni kwa kuboresha njia ya asili. (Semi intensive) 1. BANDA LA KUKU Banda hili hugawanywa sehemu mbili:- (1) SEHEMU YA KUTAGA, KULALIA, NA KUJIHIFADHI. • Sehemu hii inaweza kuweka kiasi cha kuku 5 hadi 10 kwa mita mraba moja. • Kuku huwekewa vizimba vya kutagia au kata mviringo wa nyasi au majani kwa ajili ya kulalia mayai. Wakati wa mchana ni vizuri kuacha mlango wake wazi ili kuku waweze kurudi wanapoona hatari kama mwewe, kunguru na wadudu wabaya. • Inaponyesha mvua kuku wengine hurudi kujikinga na mvua. • Wakati wa jioni kuku wote hurudi kwa kulala / kujihifadhi. #mkulimasmart #shambadarasa (2) SEHEMU YA KULELEA VIFARANGA • Katika nia hii, kuku anapototoa vifaranga, huachiwa kulea vifaranga vyake ndani ya banda hili, kwa muda wa wiki mbili hadi nne. • Baada ya hapo kuku mzazi hupokonywa vifaranga vyake nae hutolewa nje kuchanganyika na kuku wengine. • Vifaranga hulelewa pamoja na vifaranga wa kuku wengine wa umri ule ule (au walio pishana kidogo tu) hadi wafikie wiki kumi hadi kumi na mbili. • Vifaranga hao hulelewa katika kipembe kilichotengenezwa kwa mbao au makuti, na huekewa maji, chakula au hata kitoa baridi inapobidi. ULEAJI WA VIFARANGA ufugaji wa kuku wa kienyeji biashara pdf bei ya kuku wa kienyeji ujenzi wa mabanda ya kuku wa kienyeji pdf ufugaji wa kuku 2020 ufugaji wa kuku kienyeji kenya ufugaji wa kuku katika eneo dogo ufugaji wa kuku jamii forum ufugaji wa bata JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI HATUA ... Jinsi Ya Kufuga Kuku wa Kienyeji na Faida zake Tanzania . UFUGAJI WA MFUMO WA NUSU HURIA. kuku_chapchap - Mbinu 6 Za Ufugaji Bora wa Kuku wa kienyeji UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KAMA MRADI UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KWA NJIA ZA KISASA Fomula ya ufugaji bora wa kuku wa kienyeji KUKU WA KIENYEJI: Mtaji mdogo ila pato ni maradufu UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KIBIASHARA

Category

Show more

Comments - 3