Duration 14:21

WEBSITE 5 ZA KUTENGENEZA PESA ONLINE 2021,KUANZIA 200,000/= ($100) NA KUENDELEA KILA MWEZI.

21 314 watched
0
300
Published 28 Jan 2021

Jifunze Website za kutengeneza pesa online 2021, kuanzia 200,000/= ($100) na kuendelea. Hivi unajua kuwa unaweza kutengeneza pesa online? Ndio, hiyo ni sawa, na unachohitaji ni computer au simu na internet access basi. Kwenye video natashare na wewe WEBSITE 5 ambazo utaanza kutenegeneza pesa nyingine ya ziada au kama upo serious basi utaweza kutengeneza pesa nzuri zaidi. 2021 ni mwaka wako sasa kuanza kuzipigania fursa mbalimbali ambazo zinahitaji, ubunifu, simu/computer, internet access na muda wako tu. Baadhi ya hizi njia, unaweza hata $100 kwa siku au zaidi, uzuri zaidi hauachi kazi ambayo unayofanya kila siku ya wiki kama muajiriwa wa kampuni Fulani, unaweza kuutumia muda wako wa ziada, ambao upo uhuru. Kuna njia mbili za kutengeneza pesa 1.ACTIVE INCOME Ni kipato ambacho kupata pesa ni lazima ufanya kazi ndo upate malipo, hii ni aina ya kama unavyofanya sasa kuwa lazima kuamke kwenda kazini kupata otherwise hautopata pesa. 2. PASSIVE INCOME Hii ni aina ya kutengeneza pesa ambayo naipenda sana, hii fanya kazi kwa bidi kwa muda Fulani lakini unatengeneza mfumo ya kuingiza pesa hata kama ukiwa umelala. Now WEBSITE 5 ambazo utaanza kutenegeneza pesa nyingine ya ziada au kama upo serious basi utaweza kutengeneza pesa nzuri zaidi. .......................................................................................................................... 🔴 Background Music Kutoka Youtube audio Library Download free Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia 1.Kurank videos zako 2.Itakuonesha Live subscribers count 3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, 4.Kupata Keyword explorer, download sasa 👉 https://www.tubebuddy.com/Gonline 🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL👉 /c/GOnlinepositivity 🔴Follow me on IG- https://www.instagram.com/zahir11gome ... 🔴Twitter - https://twitter.com/Zahir11gomelo 🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇 ⚡UNATAKA KUFANIKIWA? ACHA KUTOA VISINGIZIO 5 VYA KIJINGA 2021 (PART TWO) 👉/watch/8UkzuT8G_rBGz ⚡UNATAKA KUFANIKIWA? ACHA KUTOA VISINGIZIO 10 VYA KIJINGA 2021 (PART ONE) 👉/watch/gu5CWh9GpD7GC ⚡JINSI YA KUWA BORA KATIKA UNACHOKIFANYA 👉/watch/0vSxeoHiDmAix ⚡FURSA 5 KUBWA AMBAZO WATU WENGI HAWAZICHUKULII SERIOUS.NI ZIPI HIZO WATCH THIS 👉/watch/E9nFedawk5hwF ⚡SABABU 4 KWANINI KUSOMA/KUJIFUNZA NI MUHIMU KWA MAFANIKIO YAKO 👉/watch/gSr5pagaPNOa5 ⚡TABIA 10 NZURI ZA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI KUWA PRODUCTIVE (Best Morning Habits/Routine)👉/watch/MVpN72IhqEyhN ⚡SIRI 5 ZA MAFANIKIO KWA MAISHA BINAFSI, BIASHARA (Funguo za mafanikio katika maisha.)👉 /watch/Idi-cfenYymn- ⚡ISHARA 5 ZA ONYO AMBAZO ZITAKUONESHA KUWA HAUPO TAYARI KUANZISHA BIASHARA KWA MUDA HUU👉/watch/cACnC5KU0WvUn ⚡GUNDUA KUSUDIO LAKO KATIKA VIDEO HII YA DAKIKA 4/ How to find your PURPOSE Under 4 Minutes 👉/watch/YLQEzAh240I2E ⚡HATUA 5 ZA KUUSHINDA UOGA WA MAFANIKIO/ 5 STEPS HOW TO OVERCOME FEAR OF SUCCESS👉 /watch/ED2IfZiObHaOI ⚡JINSI NINAVYOSAVE 50% YA KIPATO CHANGU- Tips 6 za kusave pesa ambazo zitakuza kipato chako👉 /watch/sTVx-AcGx_MGx ⚡JE UNAPITIA WAKATI MGUMU HIVI SASA KATIKA MAISHA : Angalia hii kabla ujakata tamaa 👉/watch/cJfMBNrbzBLbM ⚡NJIA 5 ZA KUKUSAIDIA KUTENGENEZA PESA KWA KUFANYA UNACHOKIPENDA : Nakuishi maisha ya ndoto zako 👉 /watch/05quTMhNLhENu ⚡KAMA UPO SERIOUS KUBADILISHA MAISHA YAKO MWAKA 2020 FANYA HAYA: Usiweke New Year Resolutions 👉/watch/kNvxPR3MgRLMx ⚡KAA MBALI NA MARAFIKI WENYE DALILI HIZI : Ndo chanzo cha kushindwa kufanikisha mengi katika maisha 👉 /watch/EDmnNFzwqXvwn ⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 /watch/82vQPrJKLQnKQ ⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 /watch/Q3OgNLNiv4Ng #Tengenezapesaonline2021 #Pesaonline2021#Gonline

Category

Show more

Comments - 35