#MsumariWaMoto #GoodMorning
Aliyekua Mbunge wa Viti Maalum wa CHADEMA, Suzan Masele ambaye kwa sasa amejiunga na Chama cha NCCR MAGEUZI, katika exclusive interview na Charles William amefafanua mambo mbalimbali ikiwemo tuhumu za rushwa ya ngono alizokirushia chama chake cha zamani