Duration 7:35

BREAKING: Majambazi wanne wauawa na polisi Kariakoo DSM usiku huu

783 471 watched
0
2.7 K
Published 20 May 2017

Jeshi la polisi Dar es salaam limewaua majambazi wanne ambao walikuwa wakivamia maduka Kariakoo, Mtaa wa Aggrey/ Livingstone. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi yamechukua takribani dakika 10.

Category

Show more

Comments - 286