Duration 11:7

MAMBO MATANO ALIOYASEMA TUNDU LISSU KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI MWANZA NA KUOMBA KURA

341 026 watched
0
1.9 K
Published 1 Sep 2020

Leo september 01, umefanyika uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika uwanja wa Furahisha Mwanza

Category

Show more

Comments - 948