Duration 8:20

Dr. Chris Mauki: Mambo 5 ya kuepuka katika mahusiano na ndoa

6 452 watched
0
135
Published 21 Dec 2020

Je unajua kuna baadhi ya makosa yasisiyo na athari kubwa sana kwenye mahusiano na ndoa wakati makosa mengine yanaweza kuonekana madogo lakini yakawatenganisha kabisa? Unajua ni yapi unapaswa kuyaepuka kabisa? Karibu kwenye somo hili nikupe mambo 5 unayopaswa kuyaepuka kabisa kwenye mahusiano na ndoa yako. Mambo 5 muhimu sana kuyashika : /watch/Y0NNPVbCkfVCN

Category

Show more

Comments - 25