Duration 12:31

Updates Jinsi Ya Kuingia Afrika Ya Kusini Kutoka Tanzania

1 067 watched
0
27
Published 25 May 2021

Habari.! Afrika ya kusini kama zilivyo nchi nyingine nyingi zimeongeza umakini katika kuruhusu watu mbalimbali kuingia katika nchi hii kutokana na janga hili la covid19. Hii imepelekea kuwa ngumu sana kwa watu kuingia katika nchi hii. Sasa kutokana na Uzoefu leo nakuletea mambo ambayo ukizingatia na kutimiza basi utaruhusiwa kuingia katika nchi hii bila kikwazo chochote. . Bonyeza link hii kutizama video ya mambo ya kuzingatia kabla ya kuja Afrika ya Kusini(Kabla ya Corona) /watch/wUtRmyiH3YCHR . Bonyeza link hii Kutizama njia Rahisi ya kwenda kuishi na Kufanya Kazi Canada(Kabla ya Corona) /watch/gJvup18xMShxu . Kwa maoni na Ushauri niandikie kupitia namba yangunya Whatsapp +18022313037

Category

Show more

Comments - 18