Duration 6:39

TUKIO la WANANCHI Kufanya FUJO Kwenye MSAFARA wa TUNDU LISSU, JESHI la POLISI Latoa TAARIFA

63 420 watched
0
221
Published 28 Sep 2020

TUKIO la WANANCHI Kufanya FUJO Kwenye MSAFARA wa TUNDU LISSU, JESHI la POLISI Latoa TAARIFA... Mgombea wa Uraisi kupitia chama cha CHADEMA alifanya ziara yake ya kampeni hapa Tarime ambapo alifanya mikutano yake Tarime vijijini eneo la Sirari na Tarime mjini eneo la Soko la zamani ambapo alimaliza salama mikutano yote miwili. Leo Tarehe 28/09/2020 majira ya saa 05:00 asubuhi Msafara wa Mgombea Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lisu ulikuwa na ratiba ya kuelekea Arusha ambapo msafara huo ungepitia Nyamwaga, Nyamongo na kuelekea Serengeti ili kufika Arusha kuendelea na Kampeni za uchaguzi. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 257